The Chairman of Miss Tanzania Committee, Mr. Prashant
Patel (centre) talks during the inauguration of the website, www.misstanzaniatreasures.com,
over the weekend in Dar es Salaam.
Others in the picture are the Managing Director of the
website, Mr. Ali Zoeb (left) and the project’s Media Consultant, Mr. Peter
Keasi. Extreme right is the winner of Vodacom Miss Tanzania 2010, Ms. Genevieve
Mpangala.
Mwenyekiti wa Kamati ya Miss Tanzania, Bw.
Prashant Patel (katikati) akizungumza wakati wa uzinduzi wa tovuti itakayokuwa
inajulikana kama www.misstanzaniatreasures.com
mwishoni mwa wiki jijini Dar es Salaam.
Wengine katika picha ni Mkurugenzi Mtendaji wa tovuti hiyo, Bw. Ali Zoeb
(kushoto) na mshauri wa habari wa tovuti hiyo, Bw. Peter Keasi. Kulia kabisa ni mshindi wa
Vodacom Miss Tanzania 2010, Bi. Genevieve Mpangala.
No comments:
Post a Comment